Kwa Mwanachama mpya gharama za kujiunga ni kiasi cha Tsh. 5000/= na malipo hayo yatafanyika kwa Lipa namba: 5156190 yenye jina Don Charity Foundation na jaza namba ya muamala katika nafasi iliyoachwa wazi. Kutakuwa na machango wa kila mwezi wa kiasi cha Tsh. 5000/= kwa kila Mwanachama.