1. Uanachama unapatikana kwa mtu yeyote aliye na umri wa miaka 18 au zaidi.
2. Unaahidi kutohusika na ushiriki usio na nidhamu au kufanya ulaghai/shughuli yoyote ambayo itaingilia heshima na matarajio ya shirika.
3. Unaahidi kufuata taratibu, kanuni na miongozo ya taasisi na kujitoa kila wakati ili kufikia dira na heshima ya taasisi.