ORODHA YA TUZO ZA KUSHINDANIAWA
1. Mc Bora
2. Mpiga picha Bora Jongevu na Mnato
3. Kikundi Bora cha Muziki wa
utamaduni
4. Mpambaji Bora
5. Saloon Bora Kike
6. Mbunifu Bora wa Mitindo
7. Mpishi Bora wa Matukio
8. Saloon Bora ya Kiume
9. Kikundi Bora cha Uimbaji
10. Baa Bora
11. Mpishi Bora wa Keki / Bekary
12. Mwekezaji Bora Sekta ya Burudani Hoteli Bora
ORODHA YA TUZO ZA HESHIMA
1. Shule bora ya Sekondari serikali inayo
ongoza Kwa Ufaulu ndani ya Miaka Mitano
2. Shule Binafsi sekondari
3. Shule bora Msingi
4. Shule Bora Msingi Binafsi
5. Kikundi bora cha wajasiamari wanawake
6. Kikundi bora cha wajasiliamari vijana
7. Mwekezaji Bora Sekta ya Habari
8. Mfanya Biashara Bora Mwanamke
9. Mfanya Biashara Bora Mwanaume
10. Mkulima Bora
11. Kikundi Bora cha Muziki wa utamaduni.
12. kata bora inayo ongoza kwa ukusanyaji
mapato
13. Timu Bora ya Michez
14. Mlipa kodi Shupavu.
15. Kampuni Shupavu kulipa kodi
16. kampuni bora uzalishaji msambazaji
Bidhaa zinazo tengenezwa ndani ya wilaya
ya ngara.
17. Mfugaji bora.
18. Mtu Mwenye Ushawishi katika Huduma za
Maendeleo