CHUKUA MUDA WAKO KUJIFUNZA MAMBO MUHIMU KATIKA FURSA HII
1.JAMALIFE NI NINI?
Ni Taasisi ambayo ilianzishwa nchini Ubelgiji kwa lengo la kusaidia watu duniani kukuza uchumi wao na kusaidia watu wasiojiweza,kutoa elimu kwa wajasiliamali,kuwawezesha kutembelea nchi mbalimbali ili kujifunza namana ya kuendesha biashara na kuwafanya kuwa wawekezaji wa ndani.
Taasisi hii imesajiriwa na imesambaa hadi kuingia Africa kupitia Nigeria,Zambia,South Africa,Zimbabwe,Togo,Ghana,Namibia,Kenya,Uganda,Malawi,Tanzania na sehemu mbalimbali Duniani.
Mwasisi wa Taasisi hii anaitwa MR KURT MAERS Kutoka nchini Ubelgiji.
KAZI KUBWA KWA MTU ANAYEJIUNGA NI NINI?
Kwa mtu anayejiunga na taasisi hii anapewa kazi moja tu ya kuwashirikisha watu wawili kujiunga kama yeye.
KILA MTU ANAYEJIUNGA ANALIPIA SH NGAPI?
Unapoamua kujiunga na taasisi hii unatakiwa kulipia TZS 16000 tu ili uweze kupatiwa usajiri na mtu aliyekushirikisha fursa hii.
MPANGO WAKE WA MALIPO UKOJE?
Katika taasisi hii ya Jamalife Helpers Global kuna hatua nane za malipo kwa kila mtu anayejiunga na hatua hizi zinafanyika pale ambapo mhusika/mwananchama anapokuwa amefuzu vigezo.
Kuna hatua ya kwanza au stage 1 hapa utalipwa jumla ya usd (dola) 3 sawa na TZS 7,200/=
Katika hatua hii unatakiwa ulete watu wawili kulia mmoja na kushoto mmoja na wao walete watu wawili wawili kulia na kushoto jumla utakuwa na idadi ya watu sita chini yako,hapo utakuwa umefuzu kupokea malipo ya sh 7200/= na moja kwa moja utahamishwa kuingia daraja linalofuata.
Daraja la pili/stage 2
watu wako sita uliowaacha stage ya kwanza wanatakiwa wakamilishe hiyo stage ya kwanza ili nao wakufuate wewe huku kwenye stage ya pili.
ktk stage hii ya pili unatakiwa kuwa na jumla ya watu 14 waliotoka stage ya kwanza,haw watakuja kukaa chini yako .malipo ktk stage hii ni jumla ya USD 21 sawa na TZS 50,400/=
KUMBUKA Malipo yanafanyika pale mtu anapokufuata chini yako .hapa ni jumla ya usd 21 kwa sababu kila mtu anapokufuata unalipwa usd 1.5
1.5x 14=21
DARAJA/Stage ya 3
Katika stage hii ya tatu unatakiwa kuwa na watu 14 chini yako ambao wamekamilisha stage ya pili na kukufuata kama upliner wao.Hapo kila mtu anayekufuata taasisi itakuwekea usd 10 kwa kila mmoja hivyo wakikamilika watu 14 utakuwa umewekewa jumla ya usd 140 ambazo ni sawa na TZS 336,000/=.
DARAJA/Stage ya 4
Katika stage hii ya nne unatakiwa uwe na watu 14 chini yako ambao nao wamekamilisha stage ya tatu na kukufuata wewe.hapo kila mtu anayekufuata utawekewa usd 55 mara idadi ya watu 14 hivyo utakuwa na jumla ya usd 55 x14 770 sawa na TZS 1,848,000/=(MILIONI MOJA LAKI NANE NA ELFU AROBAINI NA NANE)
DARAJA/Stage ya 5
Katika stage hii ya tano unatakiwa kuwa na watu 14 chini yako ambao wamekamilisha stage ya nne,hao watkufuata mmoja baada ya mwingine .kila mtu ktk stage hii utalipwa usd250.hivyo ktk watu 14 utakuwa na jumla ya usd
250 x 14 =3500,sawa na TZS 8,400,000/=(MILIONI NANE NA LAKI NNE)
ZAWADI NYINGINE KTK DARAJA HILI NI
laptop,tv,friji,bima ya afya. vyenye thamani ya usd 1000 sawa na sh 2,700,000/=
DARAJA/Stage ya 6
Katika stage hii ya sita unatakiwa kuwa na watu 14 chini yako ambao wamekamilisha stage ya tano.kila mtu anayekufuata katka stage hii utakipwa usd 800. Hivyo kama watu wote 14 watakufuata utakuwa na kipato cha usd800 x 14 11,200 ambazo ni sawa na TZS 25,760,000/=(MILIONI ISHIRINI NA TANO,LAKI SABA NA ELFU SITINI)
zawadi nyingine kk daraja hili ni,Gari mpya yenye thamani ya usd 13,000,pesa ya kununua vitu mbalimbali,bima ya afya nk.
DARAJA/Stage 7
Katika stage hii ya saba unatakiwa kuwa na watu 14 waliokamilisha stage ya sita ili wakufuate chini.hapa kila mmoja taasisi ya jamalife itakupa usd 4000.Hivyo ktk watu wote 14 utakuwa na jumla ya usd 4000 x14=56,000 ambazo ni sawa na TZS 128,800,000/=(MILIONI MIA MOJA ISHIRINI NA NANE NA LAKI NANE)
zawadi nyingine ktk daraja hili ni,Gari mpya yenye thamani ya usd 50,000,safari ya utalii nchi za nje kwa gharama ya taasisi yenye jumla ya usd 10,000,bima ya afya,pesa ya mahemezi.
DARAJA/Stage ya 8.
Katika stage hii ya nane utatakiwa kuwa na jumla ya watu 14 ambao wamekamilisha stage 7.Hapo kila mmoja anayekufuata unalipwa usd 20,000.kama watu 14 watakufuata basi utalipwa kiasi usd 280,000yaani 20000 x14 =280,000 SAWA NA TZS 644,000,000/=(MILIONI MIA SITA AROBAINI NA NNE)
zawadi nyingine ktk daraja hili ni,Gari mpya enye thamani ya usd 170,000,nyumba,bima ya afya,pesa ya matumizi.
KUMBUKA YAFUATAYO
Unaruhusiwa kujiunga na account zaidi ya moja ukipenda
account moja ni sh 16000
accoun mbili ni sh 32000,kwa hiyo ni wewe tu kuingia na akaunt nyingi upendavyo.
NAPATAJE WATU HAO WA KUWAINGIZA?
Ni rahisi sana
jifunze mfumo
jiunge wewe
leta wengine pia
KAMA UMEPENDA KUUNGANA NAMI KWENYE FURSA HII JAZA FOMU YAKO ILI TUANZE USAJIRI.
KWA MAELEZO MENGINE MENGI JUU YA MFUMO HUU TEMBELEA WEBSITE HII
www.jamalifehelpersglobal.com